HII NDIO RATIBA RASMI YA LIGI KUU ENGLAND
LONDON, ENGLAND
RATIBA ya Ligi Kuu England imepanguliwa na kupangwa upya na sasa kutakuwa na mechi ya Ijumaa ambapo Manchester United itakipiga na Southampton kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Agosti 19.
Baada ya ratiba ile ya awali, ratiba hiyo ya Ligi Kuu England sasa imepangwa upya na televisheni za Sky Sport na BT Sport ambazo zitawagawana kuonyesha mikikimikiki hiyo kwa msimu ujao. Kuna mechi kibao zimepanguliwa na kupangwa upya kutokana na ratiba za televisheni na vipindi vyao. Ligi Kuu England haina ujanja wa kuzikwepa televisheni hizo kwa sababu ndizo zinazomwaga pesa kwenye ligi hiyo. Ratiba hiyo inaweza kubadilishwa tena kuanzia mwezi Oktoba.
Mechi zilizopangwa upya na televisheni
Jumamosi, Agosti 13: Hull City v Leicester City
Jumamosi, Agosti 13: Man City v Sunderland
Jumapili, Agosti 14: Bournemouth v Man United
Jumapili, Agosti 14: Arsenal v Liverpool
Jumatatu, Agosti 15: Chelsea v West Ham
Ijumaa, Agosti 19: Man United v Southampton
Jumamosi, Agosti 20: Leicester City v Arsenal
Jumamosi, Agosti 20: Stoke City v Man City
Jumapili, Agosti 21: Sunderland v Middlesbrough
Jumapili, Agosti 21: West Ham v Bournemouth
Jumamosi, Agosti 27: Tottenham v Liverpool
Jumamosi, Agosti 27: Hull City v Man United
Jumapili, Agosti 28: West Brom v Middlesbrough
Jumapili, Agosti 28: Man City v West Ham
Jumamosi, Sept 10: Man United v Man City
Jumamosi, Sept 10: Liverpool v Leicester City
Jumapili, Sept 11: Swansea City v Chelsea
Jumatatu, Sept 12: Sunderland v Everton
Ijumaa, Sept 16: Chelsea v Liverpool
Jumamosi, Sept 17: Everton v Middlesbrough
Jumapili, Sept 18: Watford v Man United
Jumapili, Sept 18: Crystal Palace v Stoke City
Jumapili, Sept 18: Tottenham v Sunderland
Jumamosi, Sept 24: Man United v Leicester City
Jumamosi, Sept 24: Arsenal v Chelsea
Jumapili, Sept 25: West Ham v Southampton
Jumatatu, Sept 26: Burnley v Watford
Ratiba kamili ya England kwa mwaka 2016
Jumamosi, Agosti 13, 2016
Hull City v Leicester City (Saa 8:30 mchana)
Burnley v Swansea City (Saa 11:00 jioni)
Crystal Palace v West Brom (Saa 11:00 jioni)
Everton v Tottenham (Saa 11:00 jioni)
Middlesbrough v Stoke City (Saa 11:00 jioni)
Southampton v Watford (Saa 11:00 jioni)
Manchester City v Sunderland (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Agosti 14, 2016
Bournemouth v Man United (Saa 9:30 alasiri)
Arsenal v Liverpool (Saa 12:00 jioni)
Jumatatu, Agosti 15, 2016
Chelsea v West Ham (Saa 4:00 usiku)
Ijumaa, Agosti 19, 2016
Man United v Southampton (Saa 4:00 usiku)
Jumamosi, Agosti 20, 2016
Stoke City v Man City (Saa 8:30 mchana)
Swansea City v Hull City (Saa 11:00 jioni)
Tottenham v Crystal Palace (Saa 11:00 jioni)
Watford v Chelsea (Saa 11:00 jioni)
West Brom v Everton (Saa 11:00 jioni)
Burnley v Liverpool (Saa 11:00 jioni)
Leicester City v Arsenal (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Agosti 21, 2016
Sunderland v Middlesbrough (Saa 9:30 alasiri)
West Ham v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Agosti 27, 2016
Tottenham v Liverpool (Saa 8:30 mchana)
Chelsea v Burnley (Saa 11:00 jioni)
Crystal Palace v Bournemouth (Saa 11:00 jioni)
Everton v Stoke City (Saa 11:00 jioni)
Leicester City v Swansea City (Saa 11:00 jioni)
Southampton v Sunderland (Saa 11:00 jioni)
Watford v Arsenal (Saa 11:00 jioni)
Hull City v Man United (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Agosti 28, 2016
West Brom v Middlesbrough (Saa 9:30 alasiri)
Man City v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Sept 10, 2016
Man United v Man City (Saa 8:30 mchana)
West Ham v Watford (Saa 11:00 jioni)
Stoke City v Tottenham (Saa 11:00 jioni)
Middlesbrough v Crystal Palace (Saa 11:00 jioni)
Burnley v Hull City (Saa 11:00 jioni)
Bournemouth v West Brom (Saa 11:00 jioni)
Arsenal v Southampton (Saa 11:00 jioni)
Liverpool v Leicester City (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Sept 11, 2016
Swansea City v Chelsea (Saa 12:00 jioni)
Jumatatu, Sept 12, 2016
Sunderland v Everton (Saa 4:00 usiku)
Ijumaa, Sept 16, 2016
Chelsea v Liverpool (Saa 4:00 usiku)
Jumamosi, Sept 17, 2016
West Brom v West Ham (Saa 11:00 jioni)
Man City v Bournemouth (Saa 11:00 jioni)
Leicester City v Burnley (Saa 11:00 jioni)
Hull City v Arsenal (Saa 11:00 jioni)
Everton v Middlesbrough (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Sept 18, 2016
Watford v Man United (Saa 8:00 mchana)
Southampton v Swansea City (Saa 10:15 jioni)
Crystal Palace v Stoke City (Saa 10:15 jioni)
Tottenham v Sunderland (Saa 12:30 jioni)
Jumamosi, Sept 24, 2016
Man United v Leicester City (Saa 8:30 mchana)
Swansea City v Manchester City (Saa 11:00 jioni)
Sunderland v Crystal Palace (Saa 11:00 jioni)
Stoke City v West Brom (Saa 11:00 jioni)
Middlesbrough v Tottenham (Saa 11:00 jioni)
Liverpool v Hull City (Saa 11:00 jioni)
Bournemouth v Everton (Saa 11:00 jioni)
Arsenal v Chelsea (Saa 1:30 usiku)
Jumapili, Sept 25, 2016
West Ham v Southampton (Saa 12:00 jioni)
Jumatatu, Sept 26, 2016
Burnley v Watford (Saa 4:00 usiku)
Jumamosi, Oktoba 1, 2016
West Ham v Middlesbrough (Saa 11:00 jioni)
Watford v Bournemouth (Saa 11:00 jioni)
Tottenham v Man City (Saa 11:00 jioni)
Swansea City v Liverpool (Saa 11:00 jioni)
Sunderland v West Brom (Saa 11:00 jioni)
Man United v Stoke City (Saa 11:00 jioni)
Leicester City v Southampton (Saa 11:00 jioni)
Hull City v Chelsea (Saa 11:00 jioni)
Everton v Crystal Palace (Saa 11:00 jioni)
Burnley v Arsenal (Saa 11:00 jioni)
Jumamosi, Oktoba 15, 2016
West Brom v Tottenham (Saa 11:00 jioni)
Stoke City v Sunderland B(Saa 11:00 jioni)
Southampton v Burnley (Saa 11:00 jioni)
Middlesbrough v Watford (Saa 11:00 jioni)
Man City v Everton (Saa 11:00 jioni)
Liverpool v Man United (Saa 11:00 jioni)
Crystal Palace v West Ham (Saa 11:00 jioni)
Chelsea v Leicester City (Saa 11:00 jioni)
Bournemouth v Hull City (Saa 11:00 jioni)
Arsenal v Swansea City (Saa 11:00 jioni)
Jumamosi, 22 October 2016
West Ham United v Sunderland (Saa 11:00 jioni)
Swansea City v Watford (Saa 11:00 jioni)
Man City v Southampton (Saa 11:00 jioni)
Liverpool v West Brom (Saa 11:00 jioni)
Leicester City v Crystal Palace (Saa 11:00 jioni)
Hull City v Stoke City (Saa 11:00 jioni)
Chelsea v Man United (Saa 11:00 jioni)
Burnley v Everton (Saa 11:00 jioni)
Bournemouth v Tottenham (Saa 11:00 jioni)
Arsenal v Middlesbrough (Saa 11:00 jioni)
Jumamosi, Oktoba 29, 2016
West Brom v Man City (Saa 11:00 jioni)
Watford v Hull City (Saa 11:00 jioni)
Tottenham v Leicester City (Saa 11:00 jioni)
Sunderland v Arsenal (Saa 11:00 jioni)
Stoke City v Swansea City (Saa 11:00 jioni)
Southampton v Chelsea (Saa 11:00 jioni)
Middlesbrough v Bournemouth (Saa 11:00 jioni)
Man United v Burnley (Saa 11:00 jioni)
Everton v West Ham (Saa 11:00 jioni)
Crystal Palace v Liverpool (Saa 11:00 jioni)
Jumamosi, Novemba 5, 2016
West Ham v Stoke City (Saa 12:00 jioni)
Swansea City v Man United (Saa 12:00 jioni)
Man City v Middlesbrough (Saa 12:00 jioni)
Liverpool v Watford (Saa 12:00 jioni)
Leicester City v West Brom (Saa 12:00 jioni)
Hull City v Southampton (Saa 12:00 jioni)
Chelsea v Everton (Saa 12:00 jioni)
Burnley v Crystal Palace (Saa 12:00 jioni)
Bournemouth v Sunderland (Saa 12:00 jioni)
Arsenal v Tottenham (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Novemba 19, 2016
West Brom v Burnley (Saa 12:00 jioni)
Watford v Leicester City (Saa 12:00 jioni)
Tottenham v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Sunderland v Hull City (Saa 12:00 jioni)
Stoke City v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Southampton v Liverpool (Saa 12:00 jioni)
Middlesbrough v Chelsea (Saa 12:00 jioni)
Man United v Arsenal (Saa 12:00 jioni)
Everton v Swansea City (Saa 12:00 jioni)
Crystal Palace v Man City (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Novemba 26, 2016
Watford v Stoke City (Saa 12:00 jioni)
Swansea City v Crystal Palace (Saa 12:00 jioni)
Southampton v Everton (Saa 12:00 jioni)
Man United v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Liverpool v Sunderland (Saa 12:00 jioni)
Leicester City v Middlesbrough (Saa 12:00 jioni)
Hull City v West Brom (Saa 12:00 jioni)
Chelsea v Tottenham (Saa 12:00 jioni)
Burnley v Man City (Saa 12:00 jioni)
Arsenal v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Desemba 3, 2016
West Ham v Arsenal (Saa 12:00 jioni)
West Brom v Watford (Saa 12:00 jioni)
Tottenham v Swansea City (Saa 12:00 jioni)
Sunderland v Leicester City (Saa 12:00 jioni)
Stoke City v Burnley (Saa 12:00 jioni)
Middlesbrough v Hull City (Saa 12:00 jioni)
Man City v Chelsea (Saa 12:00 jioni)
Everton v Man United (Saa 12:00 jioni)
Crystal Palace v Southampton (Saa 12:00 jioni)
Bournemouth v Liverpool (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Desemba 10, 2016
Watford v Everton (Saa 12:00 jioni)
Swansea City v Sunderland (Saa 12:00 jioni)
Liverpool v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Leicester City v Man City (Saa 12:00 jioni)
Hull City v Crystal Palace (Saa 12:00 jioni)
Chelsea v West Brom (Saa 12:00 jioni)
Burnley v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Arsenal v Stoke City (Saa 12:00 jioni)
Jumapili, Desemba 11, 2016
Southampton v Middlesbrough (Saa 12:00 jioni)
Man United v Tottenham (Saa 12:00 jioni)
Jumanne, Desemba 13, 2016
West Ham v Burnley (Saa 4:45 usiku)
Sunderland v Chelsea (Saa 4:45 usiku)
Bournemouth v Leicester City (Saa 4:45 usiku)
West Brom v Swansea City (Saa 5:00 usiku)
Jumatano, Desemba 14, 2016
Everton v Arsenal (Saa 4:45 usiku)
Middlesbrough v Liverpool (Saa 4:45 usiku)
Tottenham v Hull City (Saa 5:00 usiku)
Stoke City v Southampton (Saa 5:00 usiku)
Man City v Watford (Saa 5:00 usiku)
Crystal Palace v Man United (Saa 5:00 usiku)
Jumamosi, Desemba 17, 2016
West Ham v Hull City (Saa 12:00 jioni)
West Brom v Man United (Saa 12:00 jioni)
Tottenham v Burnley (Saa 12:00 jioni)
Sunderland v Watford (Saa 12:00 jioni)
Stoke City v Leicester City (Saa 12:00 jioni)
Middlesbrough v Swansea City (Saa 12:00 jioni)
Man City v Arsenal (Saa 12:00 jioni)
Everton v Liverpool (Saa 12:00 jioni)
Crystal Palace v Chelsea (Saa 12:00 jioni)
Bournemouth v Southampton (Saa 12:00 jioni)
Jumatatu, Desemba 26, 2016
Watford v Crystal Palace (Saa 12:00 jioni)
Swansea City v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Southampton v Tottenham (Saa 12:00 jioni)
Man United v Sunderland (Saa 12:00 jioni)
Liverpool v Stoke City (Saa 12:00 jioni)
Leicester City v Everton (Saa 12:00 jioni)
Hull City v Man City (Saa 12:00 jioni)
Chelsea v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Burnley v Middlesbrough (Saa 12:00 jioni)
Arsenal v West Brom (Saa 12:00 jioni)
Jumamosi, Desemba 31, 2016
Watford v Tottenham (Saa 12:00 jioni)
Swansea City v Bournemouth (Saa 12:00 jioni)
Southampton v West Brom (Saa 12:00 jioni)
Man United v Middlesbrough (Saa 12:00 jioni)
Liverpool v Manchester City (Saa 12:00 jioni)
Leicester City v West Ham (Saa 12:00 jioni)
Hull City v Everton (Saa 12:00 jioni)
Chelsea v Stoke City (Saa 12:00 jioni)
Burnley v Sunderland (Saa 12:00 jioni)
Arsenal v Crystal Palace (Saa 12:00 jioni)
Post a Comment