Gary Neville
VALENCIA, HISPANIA
GARY NEVILLE amefukuzwa kazi katika klabu ya Valencia baada
ya kuitumikia klabu hiyo kwa miezi minne. Beki huyo wa kulia wa zamani wa Manchester United ameondolewa wakati klabu yake ikiwa katika nafasi ya 14 katika msimamo wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga.
Mwingereza huyo alichukua mikoba ya Nuno EspĂrito Santo lakini ameshindwa kufikia malengo ya klabu. HABARI KAMILI ITAKUJA.
Post a Comment