0
LONDON, ENGLAND
RATIBA ya msimu mpya wa Ligi Kuu England 2017/18 imetangazwa na itaanza rasmi Agosti 12, huku mabingwa watetezi Chelsea chini ya Kocha Antonio Conte, wakianzia nyumbani Stamford Bridge dhidi ya Burnley Agosti 12.
 Tottenham itaanzia itaenda ugenini St James' Park ukiwa ni msimu wa saba mfululizo ikiwafuata Newcastle waliorudi Ligi Kuu msimu huu chini ya Rafa Benitez. Itakuwa ni marudio ya mechi yao ya ufunguzi wa msimu wa 2012/13, ambayo Spurs walilala 2-1.
Chelsea na Tottenham zitakutana uso kwa uso Wembley katika wiki ya pili ya msimu mpya wa Premier League. 

Kocha Jose Mourinho na Manchester United yake wataanza na West Ham nyumbani Old Trafford, wakati majirani zao City chini ya Pep Guardiola watawafuata wageni wa ligi, Brighton. Wageni wengine katika Premier League,  Huddersfield, wataanzia nyumbani kwa Crystal Palace, huku mabingwa wa 2016 Leicester watawafuata Arsenal walio kwenye kibarua cha kujaribu kurudi Top Four wakati Liverpool ikisafiri hadi Watford. 
Everton chini ya Ronald Koeman itakuwa na mwanzo mgumu kuliko klabu nyingine yoyote kwani baada ya kuanza na Stoke, itasafiri kuzifuata Manchester City na Chelsea, kabla kuikaribisha Tottenham na kisha kusafiri tena hadi Old Trafford kucheza na Manchester United. 

Katika mechi nyingine za ufunguzi, Southampton itaivaa Swansea na West Brom itakuwa nyumbani dhidi ya Bournemouth. Manchester na Merseyside derby zimepangwa kupigwa siku moja Desemba 9. Wakati Manchester City itakwenda Old Trafford, Everton itasafiri hadi Anfield. 
Marudiano ya mechi hizi pia yamepangwa siku moja - Aprili 7. United itawavaa wapinzani wao wa jadi Liverpool Oktoba 14 Uwanja wa Anfield na watarudiana wakati vijana wa Mourinho watakapowaalika wenzao wa Jurgen Klopp ndani Theatre of Dreams Machi 10. Macho yote yanatarajiwa kuelekezwa Arsenal msimu huu baada ya uamuzi wa Arsene Wenger kubaki Emirates na Mfaransa huyo kibarua chake kinaweza kuota nyasi wakati Gunners itakapokwenda Anfield kwa mechi ya tatu Agosti 26. 

MECHI ZA UFUNGUZI
Arsenal v Leicester City Brighton and Hove Albion v Manchester City Chelsea v Burnley Crystal Palace v Huddersfield Town Everton v Stoke City Manchester United v West Ham United Newcastle United v Tottenham Hotspur Southampton v Swansea City Watford v Liverpool West Bromwich Albion v Bournemouth
MECHI ZA MWISHO
Burnley v Bournemouth Crystal Palace v West Bromwich Albion Huddersfield Town v Arsenal Liverpool v Brighton and Hove Albion Manchester United v Watford Newcastle United v Chelsea Southampton v Manchester City Swansea City v Stoke City Tottenham Hotspur v Leicester City West Ham United v Everton.
 
RATIBA YA AWALI YA LIGI KUU ENGLAND 2017-18
Jumamosi, Agosti 12, 2017
Arsenal         v Leicester City
Brighton         v Man City
Chelsea         v Burnley
Crystal Palace     v Huddersfield
Everton         v Stoke City
Man United     v West Ham
Newcastle      v Tottenham
Southampton     v Swansea City
Watford         v Liverpool
West Brom     v Bournemouth

Jumamosi, Agosti 19, 2017
Bournemouth     v Watford
Burnley         v West Brom
Huddersfield     v Newcastle
Leicester City     v Brighton
Liverpool         v Crystal Palace
Man City         v Everton
Stoke City     v Arsenal
Swansea City     v Man United
Tottenham    v Chelsea
West Ham     v Southampton

Jumamosi, Agosti 26, 2017
Bournemouth     v Man City
Chelsea         v Everton
Crystal Palace     v Swansea City
Huddersfield    v Southampton
Liverpool         v Arsenal
Man United     v Leicester City
Newcastle    v West Ham
Tottenham     v Burnley
Watford         v Brighton
West Brom    v Stoke City

Jumamosi, Septemba 9, 2017
Arsenal         v Bournemouth
Brighton        v West Brom
Burnley         v Crystal Palace
Everton         v Tottenham
Leicester City     v Chelsea
Man City         v Liverpool
Southampton     v Watford
Stoke City     v Man United
Swansea City     v Newcastle
West Ham    v Huddersfield

Jumamosi, Septemba 16, 2017
Bournemouth     v Brighton
Chelsea         v Arsenal
Crystal Palace     v Southampton
Huddersfield    v Leicester City
Liverpool         v Burnley
Man United     v Everton
Newcastle     v Stoke City
Tottenham     v Swansea City
Watford         v Man City
West Brom    v West Ham

Jumamosi, Septemba 23, 2017
Arsenal         v West Brom
Brighton         v Newcastle
Burnley         v Huddersfield
Everton         v Bournemouth
Leicester City     v Liverpool
Manchester City     v Crystal Palace
Southampton     v Man United
Stoke City     v Chelsea
Swansea City     v Watford
West Ham     v Tottenham

Jumamosi, Septemba 30, 2017
Bournemouth     v Leicester City
Arsenal         v Brighton
Chelsea         v Man City
Everton         v Burnley
Huddersfield     v Tottenham
Man United    v Crystal Palace
Newcastle    v Liverpool
Stoke City    v Southampton
West Brom    v Watford
West Ham    v Swansea City

Jumamosi, Oktoba 14, 2017
Brighton        v Everton
Burnley         v West Ham
Crystal Palace     v Chelsea
Leicester City     v West Brom
Liverpool         v Man United
Manchester City     v Stoke City
Southampton     v Newcastle
Swansea City     v Huddersfield
Tottenham     v Bournemouth
Watford         v Arsenal

Jumamosi, Oktoba 21, 2017
Chelsea         v Watford
Everton         v Arsenal
Huddersfield    v Man United
Man City         v Burnley
Newcastle    v Crystal Palace
Southampton     v West Brom
Stoke City     v Bournemouth
Swansea City     v Leicester City
Tottenham    v Liverpool
West Ham    v Brighton

Jumamosi, Oktoba 28, 2017
Bournemouth     v Chelsea
Arsenal         v Swansea City
Brighton        v Southampton
Burnley         v Newcastle
Crystal Palace     v West Ham
Leicester City     v Everton
Liverpool         v Huddersfield
Man United    v Tottenham
Watford         v Stoke City
West Brom    v Man City

Jumamosi, Novemba 4, 2017
Chelsea         v Manchester
Everton         v Watford
Huddersfield     v West Brom
Man City         v Arsenal
Newcastle     v Bournemouth
Southampton     v Burnley
Stoke City     v Leicester City
Swansea City     v Brighton
Tottenham     v Crystal Palace
West Ham     v Liverpool

Jumamosi, Novemba 18, 2017
Bournemouth     v Huddersfield
Arsenal         v Tottenham
Brighton        v Stoke City
Burnley         v Swansea City
Crystal Palace     v Everton
Leicester City     v Man City
Liverpool         v Southampton
Man United     v Newcastle
Watford         v West Ham
West Brom    v Chelsea

Jumamosi, Novemba 25, 2017
Burnley         v Arsenal
Crystal Palace     v Stoke City
Huddersfield    v Man City
Liverpool         v Chelsea
Man United     v Brighton
Newcastle    v Watford
Southampton     v Everton
Swansea City     v Bournemouth
Tottenham    v West Brom
West Ham    v Leicester City

Jumanne, Novemba 28, 2017
Bournemouth     v Burnley
Arsenal         v Huddersfield
Brighton        v Crystal Palace
Leicester City     v Tottenham
Watford         v Man United
West Brom    v Newcastle

Jumatano, Novemba 29, 2017
Chelsea         v Swansea City
Everton         v West Ham
Man City         v Southampton
Stoke City     v Liverpool

Jumamosi, Desemba 2, 2017
Bournemouth     v Southampton
Arsenal         v Man United
Brighton        v Liverpool
Chelsea         v Newcastle
Everton         v Huddersfield
Leicester City     v Burnley
Man City         v West Ham
Stoke City     v Swansea City
Watford         v Tottenham
West Brom    v Crystal Palace

Jumamosi, Desemba 9, 2017
Burnley         v Watford
Crystal Palace     v Bournemouth
Huddersfield    v Brighton
Liverpool         v Everton
Man United     v Man City
Newcastle     v Leicester City
Southampton     v Arsenal
Swansea City     v West Brom
Tottenham    v Stoke City
West Ham     v Chelsea

Jumanne, Desemba 12, 2017
Burnley         v Stoke City
Crystal Palace     v Watford
Huddersfield    v Chelsea
Man United     v Bournemouth
Swansea City     v Man City
West Ham    v Arsenal

Jumatano, Desemba 13, 2017
Liverpool         v West Brom
Newcastle    v Everton
Southampton     v Leicester City
Tottenham     v Brighton

Jumamosi, Desemba 16, 2017
Bournemouth     v Liverpool
Arsenal         v Newcastle
Brighton        v Burnley
Chelsea         v Southampton
Everton         v Swansea City
Leicester City     v Crystal Palace
Man City         v Tottenham
Stoke City     v West Ham
Watford         v Huddersfield
West Brom    v Man United

Jumamosi, Desemba 23, 2017
Arsenal         v Liverpool
Brighton         v Watford
Burnley         v Tottenham
Everton         v Chelsea
Leicester City     v Man United
Manchester City     v Bournemouth
Southampton     v Huddersfield
Stoke City     v West Brom
Swansea City     v Crystal Palace
West Ham    v Newcastle

Jumanne, Desemba 26, 2017
Bournemouth     v West Ham
Chelsea         v Brighton
Crystal Palace     v Arsenal
Huddersfield    v Stoke City
Liverpool         v Swansea City
Man United     v Burnley
Newcastle     v Man City
Tottenham     v Southampton
Watford         v Leicester City
West Brom    v Everton

Jumamosi, Desemba 30, 2017
Bournemouth     v Everton
Chelsea         v Stoke City
Crystal Palace     v Man City
Huddersfield     v Burnley
Liverpool         v Leicester City
Man United     v Southampton
Newcastle     v Brighton
Tottenham     v West Ham
Watford         v Swansea City
West Brom    v Arsenal

Jumatatu, Januari 1, 2018
Arsenal         v Chelsea
Brighton        v Bournemouth
Burnley         v Liverpool
Everton         v Man United
Leicester City     v Huddersfield   
Man City         v Watford
Southampton    v Crystal Palace
Stoke City     v Newcastle   
Swansea City     v Tottenham   
West Ham    v West Brom  

Jumamosi, Januari 13, 2018
Bournemouth     v Arsenal
Chelsea         v Leicester City
Crystal Palace     v Burnley
Huddersfield    v West Ham
Liverpool         v Man City
Man United     v Stoke City
Newcastle     v Swansea City
Tottenham    v Everton
Watford         v Southampton
West Brom    v Brighton

Jumamosi, Januari 20, 2018
Arsenal         v Crystal Palace
Brighton        v Chelsea
Burnley         v Man United
Everton         v West Brom
Leicester City     v Watford
Man City         v Newcastle
Southampton     v Tottenham
Stoke City     v Huddersfield
Swansea City     v Liverpool
West Ham    v Bournemouth

Jumanne, Januari 30, 2018
Huddersfield     v Liverpool
Swansea City     v Arsenal
West Ham    v Crystal Palace

Jumatano, Januari 31, 2018
Chelsea         v Bournemouth
Everton         v Leicester City
Man City         v West Brom
Newcastle     v Burnley
Southampton     v Brighton
Stoke City     v Watford
Tottenham     v Man United

Jumamosi, Februari 3, 2018
Bournemouth     v Stoke City
Arsenal         v Everton
Brighton        v West Ham
Burnley         v Man City
Crystal Palace     v Newcastle
Leicester City     v Swansea City
Liverpool         v Tottenham
Man United     v Huddersfield
Watford         v Chelsea
West Brom    v Southampton

Jumamosi, Februari 10, 2018
Chelsea         v West Brom
Everton         v Crystal Palace
Huddersfield    v Bournemouth
Man City         v Leicester City
Newcastle    v Man United
Southampton     v Liverpool
Stoke City     v Brighton
Swansea City     v Burnley
Tottenham    v Arsenal
West Ham     v Watford

Jumamosi, Februari 24, 2018
Bournemouth     v Newcastle
Arsenal         v Man City
Brighton        v Swansea City
Burnley         v Southampton
Crystal Palace     v Tottenham
Leicester City     v Stoke City
Liverpool         v West Ham
Man United     v Chelsea
Watford         v Everton
West Brom    v Huddersfield

Jumamosi, Machi 3, 2018
Brighton         v Arsenal
Burnley         v Everton
Crystal Palace     v Man United
Leicester City     v Bournemouth
Liverpool         v Newcastle
Man City         v Chelsea
Southampton     v Stoke City
Swansea City     v West Ham
Tottenham     v Huddersfield
Watford         v West Brom

Jumamosi, Machi 10, 2018
Bournemouth     v Tottenham
Arsenal         v Watford
Chelsea         v Crystal Palace
Everton         v Brighton
Huddersfield    v Swansea City
Man United     v Liverpool
Newcastle     v Southampton
Stoke City     v Man City
West Brom    v Leicester City
West Ham    v Burnley

Jumamosi, Machi 17, 2018
Bournemouth     v West Brom
Burnley         v Chelsea
Huddersfield     v Crystal Palace
Leicester City     v Arsenal
Liverpool         v Watford
Man City         v Brighton
Stoke City     v Everton
Swansea City     v Southampton
Tottenham     v Newcastle
West Ham     v Man United

Jumamosi, Machi 31, 2018
Arsenal         v Stoke City
Brighton        v Leicester City
Chelsea         v Tottenham
Crystal Palace     v Liverpool
Everton         v Man City
Man United     v Swansea City
Newcastle     v Huddersfield
Southampton     v West Ham
Watford         v Bournemouth
West Brom    v Burnley

Jumamosi, Aprili 7, 2018
Bournemouth     v Crystal Palace
Arsenal         v Southampton
Brighton        v Huddersfield
Chelsea         v West Ham
Everton         v Liverpool
Leicester City     v Newcastle
Man City         v Man United
Stoke City     v Tottenham
Watford         v Burnley
West Brom    v Swansea City

Jumamosi, Aprili 14, 2018
Burnley         v Leicester City
Crystal Palace     v Brighton
Huddersfield    v Watford
Liverpool         v Bournemouth
Man United     v West Brom
Newcastle    v Arsenal
Southampton     v Chelsea
Swansea City     v Everton
Tottenham    v Man City
West Ham     v Stoke City

Jumamosi, Aprili 21, 2018
Bournemouth     v Man United
Arsenal         v West Ham
Brighton         v Tottenham
Chelsea         v Huddersfield
Everton         v Newcastle
Leicester City     v Southampton
Man City         v Swansea City
Stoke City     v Burnley
Watford         v Crystal Palace
West Brom     v Liverpool

Jumamosi, Aprili 28, 2018
Burnley         v Brighton
Crystal Palace     v Leicester City
Huddersfield    v Everton
Liverpool         v Stoke City
Man United     v Arsenal
Newcastle     v West Brom
Southampton     v Bournemouth
Swansea City     v Chelsea
Tottenham     v Watford
West Ham     v Man City

Jumamosi, Mei 5, 2018
Bournemouth     v Swansea City
Arsenal         v Burnley
Brighton         v Man United
Chelsea         v Liverpool
Everton         v Southampton
Leicester City     v West Ham
Manchester City     v Huddersfield
Stoke City     v Crystal Palace
Watford         v Newcastle
West Brom    v Tottenham

Jumapili, Mei 13, 2018
Burnley         v Bournemouth
Crystal Palace     v West Brom
Huddersfield    v Arsenal
Liverpool         v Brighton
Man United     v Watford
Newcastle     v Chelsea
Southampton     v Man City
Swansea City     v Stoke City
Tottenham    v Leicester City
West Ham     v Everton

RATIBA ya msimu mpya wa Ligi Kuu England (Premier League) 2017/18 imetangazwa na msimu utaanza rasmi Agosti 12, huku mabingwa watetezi Chelsea wakiongozwa na Antonio Conte, wakianza nyumbani Stamford Bridge dhidi ya Burnley Agosti 12, ikiwa ni miezi mitatu baada ya kushinda taji kwa pointi saba zaidi mbele ya Tottenham. Washindi wa pili, Tottenham wataanzia ugenini St James' Park kwa msimu wa saba mfululizo wakiwafuata Newcastle waliorudi Ligi Kuu msimu huu chini ya Rafa Benitez. Itakuwa ni marudio ya mechi yao ya ufunguzi wa msimu wa 2012/13, ambayo Spurs walilala 2-1. Chelsea na Tottenham zitakutana uso kwa uso Wembley katika wiki ya pili ya msimu mpya wa Premier League. Jose Mourinho na Manchester United yake wataanza na West Ham nyumbani Old Trafford, wakati majirani zao City chini ya Pep Guardiola watawafuata wageni wa ligi, Brighton. Wageni wengine katika Premier League, Huddersfield, wataanzia nyumbani kwa Crystal Palace, huku mabingwa wa 2016 Leicester watawafuata Arsenal walio kwenye kibarua cha kujaribu kurudi Top Four wakati Liverpool ikisafiri hadi Watford. Everton chini ya Ronald Koeman itakuwa na mwanzo mgumu kuliko klabu nyingine yoyote kwani baada ya kuanza na Stoke, itasafiri kuzifuata Manchester City na Chelsea, kabla kuikaribisha Tottenham na kisha kusafiri tena hadi Old Trafford kucheza na Manchester United. Katika mechi nyingine za ufunguzi, Southampton itaivaa Swansea na West Brom itakuwa nyumbani dhidi ya Bournemouth. Manchester na Merseyside derby zimepangwa kupigwa siku moja Desemba 9. Wakati Manchester City itakwenda Old Trafford, Everton itasafiri hadi Anfield. Marudiano ya mechi hizi pia yamepangwa siku moja - Aprili 7. United itawavaa wapinzani wao wa jadi Liverpool Oktoba 14 Uwanja wa Anfield na watarudiana wakati vijana wa Mourinho watakapowaalika wenzao wa Jurgen Klopp ndani Theatre of Dreams Machi 10. Macho yote yanatarajiwa kuelekezwa Arsenal msimu huu baada ya uamuzi wa Arsene Wenger kubaki Emirates na Mfaransa huyo kibarua chake kinaweza kuota nyasi wakati Gunners itakapokwenda Anfield kwa mechi ya tatu Agosti 26.

Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2017/06/ligu-kuu-england-kuanza-agosti-12.html
Copyright © saluti5

Post a Comment

Top