Suarez na Messi kila mmoja akiwa na mpira wake baada ya wote kufunga 'hat trick'.
Gary Neville na kaka yake Phil Neville wakiwa wamechanganyikiwa na kipigocha Barcelona.
Utatu Mtakatifu, Neymar, Suarez na Messi.
VALENCIA,
HISPANIA
GARY
NEVILLE amegoma kujiuzulu baada ya timu yake Valencia ilivyoonewa na Barcelona
kwa kutandikwa mabao 7-0 jana usiku. Kocha huyo msaidizi wa England alishuhudia timu yake ikipokea kichapo hicho uwanjani Nou Camp katika mchezo wa nusu fainali ya Copa Del Rey.
Mashabiki wanataka kocha huyo afukuzwe na wamemkuwa wakiandika katika Mtandao wa Twitter, “Neville afukuzwe sasa” na mkurugenzi wa klabu amesema kilikuwa kipigo kibaya katika historia yao.
Lakini kocha huyo ambaye ni mchezaji wa zamani wa Manchester United, alisisitiza hatajiuzulu hata baada ya kuulizwa mara tatu.
Suarez akishangilia moja ya mabao yake
Kiungo
wa zamani wa Valencia amesema Neville
anatakiwa afukuzwe haraka — na nafasi yake izibwe na kocha wa zanmani wa Liverpool, Rafa Benitez.
Albelda
alisema: “Neville hajabadilisha mfumo au wachezaji na matokeo yamekuwa mabaya
zaudi ya ilivyokuwa kabla yake.
“Valencia tutakuwa na furaha tukimpata Benitez.”
Neville aliteketezwa na mabao manne ya straika wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez, ambaye tangu mapema alionekana kuwa angekuwa msumbufu.
“Sitaweza kulala vizuri usiku. Mashabiki hawakustahili hili. Sijakipenda kile kilichotokea.”
Mkurugenzi wa Michezo wa Valencia, Jesus Garcia Pitarch aliongeza: “ Tunapaswa kuwaomba radhi mashabiki kwa matokeo mabaya katika historia yetu.”
Kocha wa msaidizi wa zamani wa Manchester United, Rene Meulensteen pia amemlalamikia Neville, ambaye aliwahi kumfundisha Old Trafford.
Katika mchezo huo, Lionel Messi alifunga ‘hat-trick’ na Neymar alikosa penalti.
Neville atakabiliwa na kejeli baada ya kuutumia muda wake mwingi akiwa katika Kituo cha Sky Sports akilalamikia uzuiaji mbaya wa mabeki.
“Valencia tutakuwa na furaha tukimpata Benitez.”
Neville aliteketezwa na mabao manne ya straika wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez, ambaye tangu mapema alionekana kuwa angekuwa msumbufu.
Messi naye...
Na
kocha huyo wa England ambaye bado hajashinda mchezo wowote wa ligi akiwa bosi wa Valencia boss, alisema: “Haya ni
maumivu makali zaidi ambayo nimewahi kuyapata katika uzoefu wangu wa mchezo wa soka.“Sitaweza kulala vizuri usiku. Mashabiki hawakustahili hili. Sijakipenda kile kilichotokea.”
Mkurugenzi wa Michezo wa Valencia, Jesus Garcia Pitarch aliongeza: “ Tunapaswa kuwaomba radhi mashabiki kwa matokeo mabaya katika historia yetu.”
Kocha wa msaidizi wa zamani wa Manchester United, Rene Meulensteen pia amemlalamikia Neville, ambaye aliwahi kumfundisha Old Trafford.
Wauaji...
Alisema
: “Amepata kazi sehemu ambayo hawezi kuzungumza lugha yao.”Katika mchezo huo, Lionel Messi alifunga ‘hat-trick’ na Neymar alikosa penalti.
Neville atakabiliwa na kejeli baada ya kuutumia muda wake mwingi akiwa katika Kituo cha Sky Sports akilalamikia uzuiaji mbaya wa mabeki.
Post a Comment