MADRID, HISPANIA
MAELFU ya mashabiki wa Real Madrid wamempokea Zinedine Zidane katika mazoezi
kiwanjani Valdebebas kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa kuwa kocha wa timu
hiyo.
Zidane mazoezini
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 43
ametangazwa kuchukua nafasi ya Rafa Benitez katika klabu hiyo jana Jumatatu.
Kocha huyo Mfaransa anaiandaa
timu kwa ajili ya mechi ya kwanza dhidi
ya timu iliyoko katika nafasi ya saba, Deportivo la Coruna Jumamosi katika uwanja wa nyumbani wa Bernabeu.
Zidane kulia akiongoza mazoezi
Katika mazoezi hayo, Zidane hakuwa na straika, Gareth Bale, huku
ikiaminika straika huyo alikuwa akifanya mazoezi ya ‘gym’ nje ya timu.
Bale anahusishwa na kuondoka katika
timu hiyo na kurudi England, baada ya
kuondoka kwa Benitez.
Kwa mara ya kwanza,katika mazoezi
hayo kinda, Mnorweyi, Martin Odegaard kutoka
timu ya vijana ya Madrid, Castilla alicheza.
Zidane
Zidane
Kikazi zaidi
Ronaldo na beki Nacho Fernandez
Zidane
Post a Comment